Habari zenu wapendwa, kwa muda mrefu nilikuwa napitia na kusoma mambo mbali mbali kwenye huu mtandao, sasa nimeamua rasmi kuwa member, naombeni mnikaribishe.
Ahsanteni
Hi,I'm thandi.. This is my first time to be here, bt nimeona majina mingi yanachekesha are those real names kweli!? Lol
Anyway let's socialize
I'm not bad either.
Nimekuwa mfuasi mzuri sana wa jamiiforum kwa muda wa miaka mitano sasa ila sikuwa na uwezo wakuchangia mada na kuweka nyuzi kwakuwa sikua msajiliwa humu jana nimechukua maamuzi ya kujiunga na kuwa...