Naitwa DJ sepetu aka muosha rungu nilijiunga mwezi wa saba mwaka huu ila sikuwa nimejitambulisha Na kuwasalimu!
Naomba mnipokee kwa mikono Na miguu!
Ni mpole ambaye sijui kununa chuki kwangu...
Ndugu zangu,nimehangaika kitambo sana kuwa member wa JF lkn nashukuru wiki hii nimefanikiwa. Mm bado ni mgeni na sijajuwa vizuri kulitumia jukwaa hili hivyo nikipost kitu kisichohusika humu...
Habari zenu wana jamii forum!
Naomba ukaribisho wenu na mapokezi yenu, siwezi kujiita new member kutokana kwamba i was here since 2015 but kukatokea vitu vikanifanya niwe mbali na mitandao ila now...
Habari...!
Bila shaka mko vyema km ilivyo kwangu mm.
Kitambo nafuatlia baadh ya majukwaa mbal mbal ya JF mpk namm nmeshawishika kujumuika.
Naomba ushirikiano wenu