Napenda kuomba ushirikiano wenu.
Nimekuwa ni msomaji tu,bila kuwa mwachama Ila kwa sasa Naona umefika muda mwafaka wa kuwa mwanachama. Ili nami niwe naweza kutoa mchango wangu...
sio member mpya lakn kwakua nmejiunga tena kwa mala ya pili kwa kutumia username nyingine baada ya kutotumia JF kwa Muda zaid ya miaka miwil bac mm ni mgeni nategemea kushilikiana nanyi katka kla...
Habari zenu wana JF nami ni mwanachama mwenzenu kama mtakavyoona profile naamini tutashirikiana ktk kuijenga nchi yetu.kama nitakosea kanuni na sheria za JF msisite kunirekesha
Ni member mpya ndani ya jamii forum..nime weza kuwa mfwatiliaji na mpenzi wa jamii forum tangu 2016. Leo tarehe 16-9-2017 nimeona nisiwe mfuatiliji na msomaji tu bali niweze kushiriki katika post...
Jamii forums nimeioenda kwa Kweli maana inahusisha watu makini hivyo na mimi nieamua kujiunga kuungana na watu makini jinsi ni ya kiume habarini wakubwa
sent using TV ya chogo
Habari zenu me naitwa Allen nmejiunga Leo na jamii forum nmatumaini yangu tupo pamoja kwa wale fursa za kuongeza kipato I hope tutakua pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
A alaykum kwa waislam wote humu, wakristo tumsifu Yesu kristo,
Mimi ni mgeni humu JamiiForums naombeni kukaribishwa kwa bashasha zote.
Nimevutiwa sana na changamoto za humu mpaka zimenicomvice...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.