kama kichwa kilivo hapo juu nafurahishwa sana na open discussion ya mswala mengi ndani na njee ya nchi hii kutoka kwa genuine people of jf........jaman nagonga hodiiiiii....!!!
Sent using Jamii...
I dont recall kama.nlishawahi kupost uzi humu wa utambulisho, teh teh... nevertheless though naomba mnipokee wakuu. Wazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kama muungwana nawasalimu! Wakubwa shikamooni na wadogo marahaba!
Mimi kama jina langu linavoonesha ni mwanamke, si msomi sana ila nimepitapita skuli japo mambo hayakuwa mazurii kivile ila...
Tumsifu Yesu kristo, asalam alyekum. Mimi ni mgeni hapa baada ya kuuliza sana hatimae nikaelekezwa kuna sehem kama hii ya kujadili mawili matatu. Minipokeeni na kunielekeza pale nnapotoka nje ya...
Habar wanajamvi Mimi ni mgeni humu ndani wakubwa shikamooni wadogo marahaba napo kosea nikosoeni napo patia mnitie moyo zaid asanten saaana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mgeni wa Jamiiforum, nilijiunga wiki chache zilizopita lakini sikupata muda wa kuanza kuzungumza na wahusika humu.
Naomba nikaribishwe nikiamini itifaki imezingatiwa.
Umri wangu miaka 25...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.