Hello members, mimi ni mgeni humu ndani naombeni mnipokee
It has been take long time to inter here but i thanks that i have been registered
People who i admire
#Mshana Jr
#Joverest...
Natumaini hamjambo wadau wote na wazoefu wa jukwaa hili,
Ninaitwa Mniko The Poet, mwandishi wa digital ebooks kuhusu mashairi na stories.
Ninaandika mashairi kuhusu jambo lolote ambalo mtu...
Nimejiunga na jamii forums mtandao wa ukweli Tanzania, nashindwa kukomenti post yoyote kwani sehemu ya kukomenti haipo kabsa, tatizo ni nini? Msaada jamani
Habarini wandugu......nina furaha sana leo nimejiunga jamii forums.Lakini naomba msaada wenu wa kujua wapi ntapata maelezo ya jinsi ya kuchangia mada mbalimbali kwa watu waliotoa hoja zao.
wana jf hamjamboni?ni member mpya nimetokea kijiji cha vibamba Tanga. kwa sasa niko Arusha kikazi.tena nawaombeni mnisaidie kupata mke mzuri mwenye maadili.umri wangu 27 yrs.nimeajiriwa kwenye...
Baada ya kuwa nje ya jukwaa hili ila nikiwa mfuatiliaji wa mijadala mbalimbali kutoka kwa wachangiaji mbalimbali, hatimaye leo nimeamua kwa dhati yangu bila kushurutishwa na yeyote na nikiwa na...
jamani mie mgeni katka forum hii kuna muda niliwahi kujiunga ila kasimu kangu kaka haribika, Sasa nimerudi ila sijui vitu vingi saana humu, ningependa kupata maneno mhimu yanayotumika humu pia na...
habari wana jf..poleni na majukumu ya kila siku na pilika pilika za hapa na pale katika maisha haya..mimi ni mgeni humu japo nmekua nikipitia pitia baadhi ya nyuzi uku ndani kwa muda kidgo..naomba...
Jina langu mtumwa huru, Jinsia-Me)Naombeni ridhaa ya kuwa nanyi waheshimiwa, nimejifunza na kufurahia mengi kwenu kabla ya kuamua kupiga hodi humu......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.