Hodi wanajamiiforum. Mm ni member mpya humu nimependezewa kujiunga kwenye jamii hii ili kupata maarifa na habar mbalimbali kutoka kwa wanajamii. Lakini pia kutoa kile nnachokifaham pale...
Hello Great Thinkers!
I am a new member and wanted to say hi to all my fellow members as part of the introduction.
Nafurahi sana kuwa humu miongoni mwa watu wenye upeo wa mbali ki mawazo ambao...
Hello me mgeni nataka kuona faida za jf fursa zinazojitikeza maswala ya maisha siasa n mengine ushirikiano muhimu nawapenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahanin wakuu nlikua nataka kufahamu ni miaka mingap mtu anae soma bachelor ya pharmacy atatumia wakat anasoma koz hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakubwa!
Nimekuwa msomaji Na mfatiliaji mzuri Tu wa mada mbali mbali humu
Sasa nimeamua kuwa member rasmi.
Mnipokee!
Thanks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wana JamiiForum,
Mimi ni mgeni katika hii media, ni matumaini yangu nitapata ushirikiano mzuri kwenye matumizi ya hii media kwa kunielekeza yote nisiyoyajua
Shukrani sana
Hello wana jamiiforums nimekua niki pita pita humu kwa muda mrefu nimevutiwa na watu wa umu nimeona si vibaya nami nikajiunga......
Naomba nipeni ushirikiano wana jamiiforums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.