Habari wana JF. Ni matumaini yangu kuwa mko poa wote humu ndani na mnapambana na majukumu ya hapa na pale.
Kiukweli, ni jambo la kushukuru sana kwa kuwa tuko safi na wenye afya njema.
Bila...
Natumai mko salama, nimekua mdau Wa Jf tangu mwaka 2009 nikimiliki account lakini kuna tatizo lilitokea sikuweza ku-sign in tena hivyo nimeamua kurudi tena humu.
Nategemea kujifunza mazuri toka...
Mimi ni mdau mgeni hapa naomba ushirikiano wenu katika kujadiliana kupeana taarifa kufarijiana na hata kupeana ushauri na burudani
Aksante pamoja Luv you all.
hello jamii forums....members
mimi ni mdau wa jamii forums....tangu enzi za jambo...
enzi hizo internet cafe ,,,,,zikiwa katika chart,
Nimeamua niwe member kamili,,,,
Naahidi nitakuwa member...
Hodi Jf,
Mimi ni mgeni, nimefurahi sana kujumuika nanyi.
Nimekuwa nikijisomea nje, bila ya kuwa member hivyo ngoma imeninigea na sina budi kuicheza.
Naomba Ushirikiano wenu Wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.