Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Katika wiki tatu zijazo nitakuwa nafikisha umri wa miaka mitano kama mwanachama hai wa JF. Nilijiunga rasmi tarehe 10 October 2006, na katika kipindi chote cha uanachama wangu wa JF, nimeshughudia...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
hi
mie huku mgeni naombeni ushirikiano wenu
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Asikuambie mtu huyo jamaa kawakaribisha watu Sana hapa jamvini kipindi kile JF ilikua na watu km 90k . Hongera sn watu 8 Una moyo WA upendo hakika you're humbled.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mambo zenu natumai muwazima na mmeumaliza na kuuanza mwaka vizuri. Mimi niko bomba naomba mnipokee vizuri msinibague kwa kuwa mimi ni WA msumbiji. Salve africa
0 Reactions
13 Replies
1K Views
[emoji170] Habari Tanzania [emoji843]Napenda kuitambulisha kwenu page mpya ya washabiki wa chelsea Tanzania. [emoji843]Page itakua na habari zote muhimu kwa ajili yako mnazi wa chelsea...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni humu naomba kukaribishwa
0 Reactions
10 Replies
991 Views
Habarini wadau, Baada ya kusoma nyuzi za JF kwa mda mrefu (since 2011) bila kuomba membership, Leo nimeamua rasmi kuingia katika Forum na mimi niwe mmoja wa wachangiaje. Ahsante I am looking...
0 Reactions
18 Replies
700 Views
Mi mgeni sema nimecheleqa kujuintro. Cooperation plz
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Hi! wana JF,nami nimo humu hatimaye, nipokeeni
0 Reactions
11 Replies
694 Views
Mimi ni mwanachana npya nahitaji kujifunza mengi nisiyoyajua kupitia JAMIIFORUMS. Ili nipate Replies nyingi kwenye Threads yanipasa kufanya nini? Msaada tafadhali.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Jaman naitaj kukaribishwaaa
0 Reactions
12 Replies
946 Views
Jamani hodi humu ndani nami nimo
0 Reactions
5 Replies
800 Views
Habari wana jamvi mm ni mgeni humu ndani naomba mnipokee
0 Reactions
12 Replies
998 Views
Hello guyz nimefurahishwa sana na uwepo wangu humu...i appreciate you guyz. Tuko pamoja ndugu zangu
0 Reactions
12 Replies
800 Views
JFK
New member
0 Reactions
2 Replies
589 Views
Naomba kukaribishwa.
0 Reactions
3 Replies
519 Views
Naomba nipokeeni ni mgeni kwenye hii jamii yenu!!!
0 Reactions
7 Replies
817 Views
Assalaam alaykum warahmatullahi wabaraakatuh kaka na dada zangu wa JF. Nimeamua kujiunga humu ili niweze kujifunza mambo kadha wa kadha kutokana na hoja anuai katika mazingira yetu ya kisiasa...
0 Reactions
6 Replies
989 Views
vip wadau wap pande izi
0 Reactions
7 Replies
695 Views
Hello Guys! Habari gani great thinkers!? Mi mgeni mwenyeji humu toka 2013 leo najitambulisha rasmi kwa forums zote.. Hope mwenye daftari la mahudhurio anatambua uwepo wangu rasmi... Pia naomba...
0 Reactions
10 Replies
766 Views
Back
Top Bottom