Jamani husikeni na kichwa cha habari hapo juu ,Mimi ni member mpya ambae ni mcheshi sana hadi nasahau sehemu zakuwa serious natania so mnivumilie na mnikumbushe mkiniona napuyanga ili nirudi...
Assalaam alaykum warahmatullahi wabaraakatuh kaka na dada zangu wa JF.
Nimeamua kujiunga humu ili niweze kujifunza mambo kadha wa kadha kutokana na hoja anuai katika mazingira yetu ya kisiasa...
Am a new member in jamii forum, my interest falls on economic and social matters, am not much into politics , i surely need your cooperation in different aspect so as i can learn a lot from here.
Habari zenu wana jamii forum. Mimi ni mgeni kwenye hii media, ni matumaini yangu mtanipokea vizuri na kunipa ushirikiano pale ambapo inahitajika.
Shukrani!!
Habarini wapendwa mimi ni mgeni humu ndani nilikuwa nikitumia jamii forums as a guest.N imevutiwa na mijadala ya humu ndio maana nimejiunga ila nimevutiwa na hili jina baada ya kusoma mchango wa...
Wakuu,
Baada ya kutumia mitandao mingi ya kijamii kama Facebook, Instagram, Twitter; leo nimekuja humu JF.
Naombeni mnipe sheria za huku.
Oviaz(obviously) niko mgeni sana. Taifa langu Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.