Waheshimiwa wakuu sana wana JF naombeni mnikaribishe mimi Babu yenu ni mgeni humu ndani. Nipokeeni furushi zangu hizi za tunguli, nionesheni choo na bafu na sehemu ya kulala. Nimeona vijana...
Habari members...
Mimi ni mgeni humu Jf na nineijua punde tu Jf kupitia Facebook. Naombeni mnielekeze ,mnipokee na kuwa namm humu jf. Nitafurahi mkinikaribisha vizur pia kama nitapata marafiki...
Habarini wote wadau wa jukwaa hili,
Ni matumaini yangu mtanipa ushirikiano vizuri katika hii media na kuvuna vilivyomo ndani kwa manufaa yetu sote.
Ahsanteni sana.
Habari za wakati huu naitwa kingkimbe nashukuru kwa kuwa hapa jf nilikuwa nikifatilia sana hii forum asanten sana.
Post sent using JamiiForums mobile app
Naitwa Nyani wa Kale, nina furaha sana kuwa hapa maana nimekuwa msomaji tu kwa zaidi ya miaka 8.
Hatimaye sasa nitaongea ana kwa ana na watu niliokuwa nawasoma tu
Nyani wa Kale
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.