Habari wapendwa
Mimi ninatafuta kazi position of secretary, customer care,personal assistant, or receptionist
I have a certificate of clearing and forward and have learn a bit about tax
And I...
Kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kushukuru kuungana na familia ya jamii forum. Najua itakua sehemu salama kwangu kujifunza mambo mbalimbali kupitia michango ya wadau, kuondoa msongo wa...
Naombeni ushirikiano wenu.. Mimi in mfanyabiashara nafanya general trading. Pia napenda sasa kujifunza kilimo kwa wale wote wapambanaji wa maisha. ASA kwenye kilimo nipeni ushirikiano wenu