Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Naomba mnipokee napenda marafiki
2 Reactions
20 Replies
1K Views
wenyeji wa nyumba hii napiga hodii, hodiii....jamani mie mgeni wenu naomba mnipokee , mnielekeze na kuniongoza .
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Wadau kama unatumia kingamuz cha startimes nyumbn kwako kile cha anternal au dish naingiza channel za dstv Ziko 109 na Za Azam TV ziko package 3 popote ulipo nakupa huduma unachofanya unanitumia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naombeni mnipokee mm ndo naingia
0 Reactions
4 Replies
470 Views
Poleni na kazi humu ndani naomba mnikaribishe hodiii....
2 Reactions
7 Replies
873 Views
Naombeni mnipokee ndugu zangu, tushirikiane kimawazo katika kile takachoomba msaada wenu, na wale watakao omba msaada pia kama nina uelewa na hicho kitu tutasaidiana kimawazo. Asanteni
1 Reactions
8 Replies
794 Views
Hellow member!.....naomba ushirikiano na ninategemea kujifunza zaidi kupitia jukwaa hili.
0 Reactions
13 Replies
702 Views
Mimi siyo mwenyeji sana hapa so ninaomba ushirikiano wenu wana. [emoji111]
1 Reactions
6 Replies
544 Views
[emoji41] Nilikuwa chimboni now am back for real bless you all "home of great thinker" keep it real
0 Reactions
1 Replies
386 Views
M
1 Reactions
5 Replies
585 Views
Hi!
Habari zenu poleni na majukumu mm ni mwanachama mpya humu.
2 Reactions
17 Replies
991 Views
Naomba mnipokee Mimi mgeni sizijui taratibu za hapa nackia humu ndani watu kuna watu wanamatusi kama nini na jeuri sana. Naomba maelekezo
0 Reactions
15 Replies
893 Views
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Mimi ni mgeni humu jf, naombeni mnipokee na tushirikiane.
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Napenda kukaribishwa kwa bashasha nyingi za hapa na pale.Mimi ni kijana kutoka katika mtaa maarufu kabisa hapa TANZANIA ambapo mke wa mtemi wa UNYANYEMBE alihongwa hela kwa ajili ya kutekeleza...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Cut
0 Reactions
5 Replies
604 Views
[emoji110]
0 Reactions
11 Replies
792 Views
Nilikuwepo ila account ya zamani imegoma ushirikiano wenu ni muhimu sana.
1 Reactions
7 Replies
677 Views
Naomba mnipokee kwa mikono miwili..ambapo ntakosea ntahitaji kurekebishwa. Asanten. Nawawependa wote
5 Reactions
18 Replies
845 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…