Hello, mimi ni KE, sio mgeni humu ila nilikuwa naingia kama guest leo nimeona na mimi nifungue account.
Mimi ni mdau katika masula ya Elimu na Siasa. I hope we will cooperate. [emoji5][emoji5]
Habari zenu wakuu
Nipokeeni mshiriki mpya kabisa
Ila Jf irekebishe utaratibu, inachukua muda sana hadi account mpya kusajiriwa na kuruhusiwa kuanza kuchangia mada mbalimbali
Kampuni yetu INATAFUTA MAWAKALA WA KUSAMBAZA BIDHAA ZAKE POPOTE ULIPO, tutakuunganisha na Mtandao wetu na Utapewa namba ya uwanachama au UWAKALA ndani ya masaa 24. KAMPUNI itakulipa kwa kima cha...
Nimekuwa msomaji wa hii forum kwa zaidi ya miaka minne bila kuwa mwanachama.
Leo najiunga rasmi ili nishiriki ktk kutoa na kupokea mawazo na fikra pevu.
Nawaombeni mnipokee wadau.
[emoji120]