Habari me ni mwanachama mpya makazi yangu ni kigamboni mikwambe. Ni furaha kua katika miongoni ya wanachama natumai nitapata ushirikiano wa kutosha
Ahsanteni
Habari zenu...naitwa Kiwike mie mwanachama mpya nimejiunga juzi nakuanza kusoma mambo mbalimbali nimegundua nimepitwa na mambo mengi sana kwa kuchelewa kwangu...JF nilikuwa naichukulia poa...
wadau mimi ni mgeni humu ila nimeanza kuifutilia na kusoma habari zinazo andikwa humu tangu 2013 mpaka nimeamua kujiunga mwezi huu wa pili kiukweli naipenda sana jamii forum kwa sababu kuna watu...