Habari wana jf, poleni kwa majuku, niliingia jf kabla ya kujitambulisha jamani, naomba kujitambulisha rasmi, naomba tushirikiane, usiku mwema wotee, asanteni
Nahitaji sana mafuta ya nazi (Coconut oil) sio yale ya matumizi ya nje ya mwili kama vile kupaka bali yale ya matumizi ya ndani ya mwili kama vile kupikia ama kunywa.
Wapi yanapatikana jamani?