Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
mimi ni mwanachama mpya nawasalimu wote,ila bado sijaelewa vizur kuhusu jamii forum so yeyote anaejisikia kunipa darasa namkaribisha sana.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
napenda kuwasalimu Mimi mpya maeneo haya naombeni mnipokee
0 Reactions
6 Replies
885 Views
Nmefurahi kuwa kwenye grupu la jf
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam wenyeji humu. Nina furaha kujiunga nanyi JF. Ni ukweli kuwa jukwaa hili ni zaidi ya habari, kwani nimefaidika sana na michango na debate zenu nikiwa nje. Mnipokee labda nami nichangie...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wastaarabu, Waungwana na wana Hekima nawasabahi na naomba Kuwait mmoja wenu humu jamvini.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeamua kijiunga huku baada ya kuona nafaidika sana na topics za humu ndani zimenifanya nifahamu vitu vingi.0
0 Reactions
4 Replies
1K Views
haitii mimba wala haitapishi mimi ni mgeni humu na hekima ya mgeni ili apate mapokezi mema,salam ndo kitu cha kwanza!. HABARI ZENU MEMBERS WENZANGU WA JAMII FORUM,i wish tutakuwa pamoja kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hodii.... Sina budi kubisha hodi kwa sababu ndio naingia sehemu ngeni ambayo wenyeji wake wamekwisha andaa mazingira yake vizuri.Kwa mantiki hiyo ni lazima niombe utambuzi wenu kwangu ili tuwe...
0 Reactions
4 Replies
985 Views
Ni mgeni ijapokua sina kamba mguuni
0 Reactions
2 Replies
809 Views
Wastaarabu, Waungwana na wana Hekima nawasabahi na naomba Kuwait mmoja wenu humu jamvini.
0 Reactions
1 Replies
685 Views
Wastaarabu, Waungwana na wana Hekima nawasabahi na naomba kuwa mmoja wenu humu jamvini.
0 Reactions
2 Replies
688 Views
Ni msemo mkongwe sana. "MGENI NJOO MWENYEJI APONE" nimekuja na maarifa ndugu zangu, tafadhalini nipokeeni.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nawashukuru member
0 Reactions
4 Replies
966 Views
Je unatafuta nyumba za kununua, viwanja, mashamba, yard, viwanja vya biashara barabarani kama vituo vya mafuta, bank nk. Yard zinapangishwa Soweto mbeya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi ndugu zangu Nimekuwa msomaji wa mda mrefu wa habari mbalimbali hapa jf..Nikiri wazi tu kwamba nmefaidika sana na uwepo wa jf.. naomba mnikaribishe wakuu ili iniweze kushare...
0 Reactions
4 Replies
847 Views
Helo ladies and gentlemen. I am a new member.
0 Reactions
4 Replies
950 Views
Waungwana kijana wenu nimebisha hodi na nnaomba ushirikiano wenu
0 Reactions
3 Replies
817 Views
Naielewa sana jf
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau me mwenzenu tushikamane pamoja
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waungwana nimebisha hodi na nnaomba ushirikiano wenu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom