Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habar za asubuh wenyeji wangu, vip mpo poa nyote naomben ushirikiano katika kujuzana habar na kueleweshana baadh ya mambo yanayoendelea Ahsanten
0 Reactions
3 Replies
799 Views
Mara nyingi huwa nilikuwa naishia kusoma tu post humu tangu mwaka jana mwanzoni sasa nimeamua kujiunga rasmi
0 Reactions
56 Replies
4K Views
habarini wana Jf wote, ningependa kuomba kujitambulisha rasmi ndani ya Jamiiforums. Tushirikiane katika kuchangia mawazo juu ya maada zitakazowekwa mezani!! Mungu awabariki.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi humu ndani kwa Waungwana wa JamiiForums. Nategemea kupata mambo mengi mazuri kutoka kwenu wadau na mimi nawaahidi ushirikiano mkubwa toka kwangu kadri jinsi Bwana Mungu atakavyoniwezesha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari! nimekuwa msomaji mzuri na wa muda mrefu sana wa jf, ila sasa nimeona ni muda muafaka na Mimi nikashirika moja kwa moja badala ya kuishia kusoma tu! naomba ukaribisho wenu!! Naomba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nipokeeni kjana wenu tushrikiane
0 Reactions
4 Replies
872 Views
Mzee muhuni ndo nshaingia... Marhaba wote.. Twende kazi JF
0 Reactions
3 Replies
936 Views
Wadau naombeni mnitumie vichekesho vya ukwel yan vunja mbavu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hodi wenyeji mpo?nikaribisheni jamani mi mgeni😍😍
0 Reactions
6 Replies
972 Views
Chumba cha kupanga kinapatikana maeneo ya mission mbagala!ni kizuri kina umeme,na huduma ya maji pia!ni kizuri kwa anayeanza maisha!hatubagui jinsia yeyote unakaribishwa!mawasiliano 0757524428,be...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
vp wakuu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mgeni kutoka usukumani naingia naomba mapokezi yenu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
_jamani mimi mgeni ebu nikalibisheni ,niwafahamu wenyeji wangu..
0 Reactions
7 Replies
977 Views
mambo zenu?, haya na mnipokee mie mgeni
0 Reactions
4 Replies
971 Views
Nitaungana na wanajamii wenzangu kwa kila nyanja
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuuliza sio ujinga mm mgeni jf..nauliza kwamba mitandao mingine ya kijamii fb wasp..nk. Mtu anaweza kuunda group je! Na humu jf naweza kuunda group..!!!!
0 Reactions
4 Replies
893 Views
Habar wandugu! mimi ni mgeni humu naomba mnipokee. Asanteen
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndo naingia jamiii forum kama hivi
0 Reactions
4 Replies
960 Views
Habari wakuu, Naitwa Nyosso, nimeamua kujiunga na mtandao huu ili tuweze kubadilishana mawazo. Kama jina langu lilivyo, ukiniletea fujo nina kuNyosso kama kawaida. NYOSSO
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom