Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hellow ndugu zangu mambo vp? Nimehama fb kwa watu wanaoropoka bila kushirikisha fikra zao na ni mara ya kwanza kujiunga na wana JF wenzangu nawapenda sana. Tupo pamoja wajameni
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hello umu ndani! mie mgeni in great thinker naomba mwito wenu odi!
0 Reactions
4 Replies
847 Views
Tuchangie mawazo pamoja wakuu kwenye theard mbalimbali
0 Reactions
4 Replies
972 Views
Natumaini ninyi ni wazima kabisa!!!!
0 Reactions
4 Replies
781 Views
Mimi nimejiunga hapa JF kama wiki mbili hivi zimepita kwa ujumla nimefurahia maisha ya hapa jamvini Nitakapo kosea basi naomba msisite kuniweka sawa asanteni
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kawaida ya wageni wastaaribu wakifika mahali hasa kwa jamii ya watu tofautitofauti ni lazima wajitambulishe,jina langu kama mnavoliona. Wadogo zangu,wajukuu zangu na msiokubali udogo naombeni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jaman mm naitwa gidion Christian naishi mwanza ni Mara yangu ya kwanza kuingia humu jf ni nzuri kiukwel nimeipenda naomba kushirikiana nanyi kulisongesha gurudumu la maendeleo kwa namna...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu mm ni member mpya!!! Nataka michango yenu nafunga ndoa kesho kutwa asanteni!!!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa waislamu asalam alaikum kwa wakristo tumsifu yesu kristo kwa wasio na dini habari zenu im a new member in this site
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, hongereni kwa kazi ya kujenga Taifa; na hongereni kwa kutumia Mtandao huu kuibua mambo mbalimbali yanayoikabili jamii, pia hapa kuwa kitovu cha mijadala yenye tija kwa jamii na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
ndugu zangu nilifight sana kuwa mmoja wa wana jf na kwasasa kilio changu kimekwsha tupo pamoja wakuu wangu wa kazi
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu umu ndani?nimepitiliza hadi chumbani ...............
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamii Forum Poleni na majukumu, nami nimeamua kujiunga nanyi rasmi baada ya kuchoka kuwa msomaji tu wa mada.Natumaini mtanipokea vyema
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mi ni mgen humu JF, tafadhali naomba ushirikiano wenuu!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wananzengo? Ni memba mpya hapa naitwa MAGAYE kitambo sana, nilikuwa nafatilia mijadala mbalimbali humu, ila sasa nimeona ni vyema nami nikajumuika ili nifaidi zaidi. Natumaini...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wapendwa Mimi Ni mgeni hapa jukwaan naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuuu Mimi ni mgenn humu ndani
0 Reactions
3 Replies
826 Views
julius Nyerere alikuwa mwl akaukimbia kuelekea siasa anafanyiwa, Rais John Magufuri alikuwa mwalimu akaukimbia kuelekea siasani ndio huyoo kaula, waziri mteuliwa Kasimu Majaliwa alikuwa mwalimu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninayo furaha kujiunga na ma great thinker
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimetoka zangu huko nikapita hapa nikakutana na wakarimu, washauri na wenye hekima. Nimeona nijiunge nanyi.
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Back
Top Bottom