Mimi ni mgeni humu na nimekuwa nikipendezwa sana na mada nnazozisoma humu kabla sijajiunga. Hivo na mimi nimeamua kujiunga humu coz ni sehemu ambayo naweza kupata ushauri wenye maana...
Hodi humu ndani....... Naitwa Abry, me wa miaka 27,Naish dar.
Nimesoma vyema kanuni za JF nitajitahidi kuzitekeleza kama zilivo ainishwa...... Naipenda JF na wana JF kwa ujumla.
Waungwana habari zenu, nimesikia sifa za jamiiforums huku na kule, hatimaye nimeona niingie humu nijionee sasa sijui nianzie wapi.
Ushirikiano wenu tafadhali.