Mi pia mpya ndio kwaanza nimejiunga Leo,ila kuna post nimezipost kwenye forums mbali mbali kuna ishu inanchanganya kidogo bt cjaona ushirikiano bado BT one love humu Pako POWa nimepakubali kimtindow
Habair wakuu,
Nmeingia JF na kuptia nyuz tofaut tofaut katka majukwaa tofauti tofauti nlkua cjafahamu kama kuna la utambulsho uku hvyo nmekuja mnipokee na ushirikiano wenu utakua mali katka...
Wakuu kama uzi unavyo sema hapo juu imenibidi niombe radhi maana nimeingia kwenye kaya ya JF na kutembelea vyumbani bila kubisha hodi na kukaribishwa na wenyeji ili wanipe utaratibu wa kuishi...
Natumaini nimeigia sehemu sahihi kupata taarifa na Kujuzana mambo mbalimbali katika ustawi wa maisha yet pia kujengana na kushirikiana pamoja
Naomba kuwasilisha hoja wakuu