ni kama wiki mbili tangu kujiunga na JF hvyo nahitaji support yenu kwn bdo ni new member naamini ushirikiano wenu utafanya nifurahie kuwa JF na bila support yenu ntajihic mpweke sana....#OneLoveJF
Habari? wapendwa ninayo furaha kubwa kuingia katika jamii forum natumaini kujifunza mengi kutok akwenu wadau na mimi kile nilichonacho nitajaribu kushirikiana nanyi lengo ni kujengana na kusonga...
Tupeane support wapendwa ninapobisha hodi is me MC Chere.
MC pekee ninayemini kuwa akheri umdharau unayemjua kuliko usiyemjua maana ipo siku sura yako utaificha kwenye kiberiti.
Na nahisi...
Baada ya muda mrefu kufuatilia mijadala ndani ya JF... Sasa nimeamua kujiunga nanyi tujumuike pamoja.
Wadau wa michezo tutakua pamoja hasa washika bunduki wa Ashburton Groove
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.