Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
  • Poll Poll
Hello jf!mimi ni mgeni humu
0 Reactions
3 Replies
758 Views
Nimejiunga hivi karibuni wapendwa!!! Lkn daaaah!! Pamoja na kukaa na pc muda mrefu nimeshndwa kuandka new post lkn NIMEWEZA KWA KATECNO KANGU!! Nategmea makaribisho memaaaa!!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa kweli ninajifunza mengi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hodi wana jamvi naombeni mnipokee rasmi ili tujumuike pamoja kwenye mchanganuo wa hoja
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Napenda up to date issues
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Naomba mapokezi yenu ili tujumuike pamoja katika kulijenga taifa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kuwa member nikiwa nje ya Jamvi kwa kipindi kirefu, kwa heshima naomba kuungana na wanajamvi ili kuwakilisha na kuchangia mambo ya msingi yanayo tuzunguka katika jamii. Asanteni wakuu.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hello wana jf mimi mgeni jamani kwa hiyo nikikosea naitaji kurekebishwa ahsanteni
0 Reactions
6 Replies
949 Views
Nafurahi kujiunga nanyi naomba tuwe pamoja.
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Mimi ni mgeni humu ndani...naombeni mnipokee nmekua nikiadmire contributions za wachangiaji tofauti tofauti na vile vile nimekua dissapointed marta nyingine na baadhi ya comments lakini ni...
1 Reactions
4 Replies
922 Views
mgeni wenu wakuu
0 Reactions
4 Replies
731 Views
habarini wenyeji hope mmeshnda poa ila kwa wale wenzangu poleni na swaumu.. daah! ila nimechoka kweli nimebeba mafurush yangu yote nimehamia humu ndani nikaribishen jamani hata kwa miguu ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hodi hodi
0 Reactions
3 Replies
965 Views
Kwa mda mrefu nimekuwa nikielimika, kuburudika, kuhuzunika, kushangaa na kupanuka kimawazo kutokana na mijadala tofauti tofauti ya ndani ya JF. Natowa tamko sasa kuwa nimejiunga rasmi ili kuwa...
1 Reactions
6 Replies
960 Views
waungwana me mgeni humu ndani,natumaini nitapokelewa.
0 Reactions
5 Replies
863 Views
habari zenu, bila shaka m kopoa ila baada ya utambulisho ninaomba mnisaidie ni njia gani nitumie ili niweze kutuma maombi ya kazi kwa njia ya email/mtandao maana sijui hata kidogo naomba msaada...
0 Reactions
4 Replies
909 Views
Wasalaam wakuu! Jamiiforums kwangu ni kama wikipedia ya bongo nilikua napita juu kwa juu sasa nimeamua kudumbukia kabisa ili niweze kuchangia na kuchangiana mawazo na wanajamii wenzangu wenye...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimefurahi leo nimefanikiwa kujiunga JF
0 Reactions
8 Replies
977 Views
mim mpya hapa jaman nipokeeni.nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
969 Views
Back
Top Bottom