Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
JF izidi kung'aa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jaman 1 of my dreams zimetimia coz ni mmoja wa jf member i think nitajifunz meng sana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi kwa moyo mkunjufu na Hekima naomba kupokelewa kwenye jukwa hili. Ili na mm niweze kuchangia kama mtanzania nipo Tanga Bumbuli.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mtu Makini Kwenye Mahali Makini. Nipo mda mrefu Sana na ninafurahia kuwa humu ndani nanyi nyote. Mbarikiwe Sana na Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. Amina
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni wenu naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hili,
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimevutiwa na makala zenu zinazofundisha, kuhabarisha na kuelimishwa. tuko pamoja kuanzia sasa, nimewasoma!!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndio kwanza naingia mgeni kabisa sijui mchana wala usiku
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sikaribishwi
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba mnikaribishe!
0 Reactions
6 Replies
933 Views
Habarini wenyeji, Mimi mgeni naomba nikaribishwe maana ukitaka kuruka ni vyema ukaagana na nyonga.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mi mgeni humu nikaribisheni nawaomba, tu-share na kujadili mambo mbalimbali yahusuyo jamii. Ahsanteni.
0 Reactions
7 Replies
849 Views
Hi
mko poa jaman
0 Reactions
5 Replies
730 Views
Katika wengi hakika kuna mengi na kwny mengi sikosi ya msingi. I'm new here na nafurahi kuungana nanyi ndugu zangu.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni mkazi wa ukonga nayependa haki, amani na umoja pamoja na urafiki naomba mnipokee wakuu. Asanteni.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Heshima zenu wakubwa zangu, mie ni mgeni katika jukwaa hili, naomba mnipokee katika kujuzana na kuelimishana katika mambo yanayotutokea sisi wenyewe na ulimwengu kiujumla.
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Hodini wanaJF! Naomba kupokelewa. Nawaomba Mods wanipe access ya Jukwaa la Kikubwa. Ahsanteni
0 Reactions
4 Replies
966 Views
Na mimi jaman tupo pamoja
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana jukwaa, Nafurahi kujiunga nanyi. Asanteni.
0 Reactions
6 Replies
985 Views
Hodi wenyewe!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ma great thinker najongea humu nikiwa mwenye furaha nyingi baada ya kutambua ntajifunza meng katika jukwaa hili. Naombeni mnpokee kwa mikono miwili.
2 Reactions
5 Replies
927 Views
Back
Top Bottom