Hodi wenyeji,
Naomba ruhusa yenu na hekima zenu katika family hii ya JF, Naomba mnipokee.
Mimi ni mwanamke,nitachangia hoja zote bila ubaguzi wowote.
Wasalaam.
Ndimi, Samrati.
Takribani mwaka mmoja na nusu nikiifurahia Jamii Forums bila 'ruhusa'.Leo nimekata shauri na kujiunga nanyi rasmi.Nategemea kupata mafunzo,changamoto na uzoefu mpya kutoka kwenu.Wakubwa kwa...
Poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo, Mie ni mgeni hapa ndani baada ya miaka kama mitano hivi nimerudi ila ID mpya!
Naomba kujuzwa taratibu za humu ndani kwa kipindi hiki wapendwa.
Habar zenu wanajamvi. Nimekuwa nikilifuatilia sana jamvi hili kwa muda. Na nilikuwa nikitaman sana kuwa nanyi. Nashkur leo nimefanikiwa naomben mnipokee. Asanten
Ni kijana wenu ambae baada ya kuisoma, Kuifatilia na kuielewa JF hatimae naomba ruhusa yenu wakuu kunikaribisha na kua mmoja wenu.
NB: Jina langu limetokana na kumkubali na kumwelewa sana msanii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.