Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hatimaye nimefanikiwa kujiunga na JF baada ya kujaribu mara nyingi na kufail,nina iman wanajf mtanipokea kwa furaha member mwenzenu kwan JF ni kisima cha maarifa na busara,ahsante na Jioni njema.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mim ni mgen sijui kutumia jf, naulizia post hi imewafikia?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Please welcome me! What should i do?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani nimerudi, safari yangu haikuwa nzuri. Kama unamuamini Mungu ukipumua basi shukuru kwa kila pumzi. Nitajitahidi kuwa jamvini kwa muda wa kutosha
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi everyone, Naitwa siri ni member mpya wa jf..... excited kuingia humu. Msichana miaka 25, mrefu...... cant wait 2 make new friends......
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Hi!! wana JF, I'm a new member, plz receive me!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
habari zenu waheshmiwa mi mgen naomben mnipokee
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam Great thinkers, Mimi ni mgeni humu ndani,naomba mnipokee,nimekuwa nikiingia Kama mgeni kwa muda mrefu lakini nimeona sio mbaya nami nikijiunga, na JF, naomba kuwasilisha.
0 Reactions
8 Replies
977 Views
Naingia hapa kwenye hili jukwaa Please mapokezi mazuri kidogo
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Mimi mgeni nmependa sana kujumuika nanyi wana Jf nmekua nkifatilia sana Jf kwa kipindi kirefu naombeni mnipokee
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jaman mimi ni mpyaa humu ndani naomba ushirkiano wa mawazoo
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba mnipokee. Mimi mgeni humu.
0 Reactions
6 Replies
801 Views
Mgeni.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi mgeni
0 Reactions
10 Replies
994 Views
Hoooooodi!mnikaribishe mie mgeni jamani. Afu uzuri wa ugeni ni kuwa unapewa vitu vizuri vizuri, chakula kizuri sehemu ya kulala nzuri na maongezi mazuri mazuri.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau mambo vp? Nimeingia rasmi humu ndani. Tulisukume gurudumu la maendeleo kwa kuhaabarishaanabecause i believe INFORMATION IS POWER.
0 Reactions
7 Replies
898 Views
Hapo juu ni jina langu halisi, Wapendawa wenzangu, mimi ni mgeni katika page hii, ila napenda kuwa pamoja nanyi kawakuwa nimependezwa na habari zinazopatika kwenye mtandao huu, pamoja na lunga...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi wakuu hiki kitu sijakielewa .kwani gharama zitatofautiana kila baada ya saa na itategemea mahali ulipo naombeni msaada wa kuelewa hili
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hellow jamiiii forums
0 Reactions
6 Replies
875 Views
Nawasalimu, naitwa Kikoli ndio naingia. Naamini nitakuwa mchangiaji wa mada bila kumchafua mtu yeyote kama ilivyo matakwa ya Jamii forum enu KIKOLI
0 Reactions
4 Replies
931 Views
Back
Top Bottom