Hello!
Napenda kukaribishwa kuwa nanyi humu katika kuchangia masuala tofauti tofauti yahusuyo jamii yetu na ya Dunia yote. Nabisha hodi, mnikaribishe tafadhali.
Nawasilisha!
Natumaini
wote ni wazima wa afya. Ndg zangu, wakubwa wangu bila kuwasahau wadogo zangu, mimi ni mgeni hapa JF, nawaombeni mnipokee kwa mikono miwili...ahsanteni!
Habari wanajamvi, naomba kupokelewa humu jamvini kwani mimi ni mgeni. Naahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wadau wote. Nawatakia shughuli njema za ujenzi wa Taifa.
Mimi ni mgeni katika jukwaa hili huru la jamii forum, nawaheshimu sana wenye uzoefu na jukwaa hili, nikimaanisha niliowakuta jukwaa hili,limekua ni jukwaa tegemezi sanaaa kwangu hasa kwa kujifunza...
Nashukuru nimepata nafasi hii adhimu kuwa mmoja kati ya member ya watu wanaofikiri kama kama hakuna box vile na sio out of the box.Salute kwa wadau wote ambao bado wanafanya page hii kuwa so best...
Naomba mnikaribishe humu ndani,nimekuwa nafuatilia mijadala ya humu ndani na mm nimeamua kujiunga...naamini nitaendelea kufaidika kama matumaini yangu yalivyo kuhusu kusanyiko hili....
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.