Habari wanajamvi.kutokana na kuvutiwa na hili jamvi nimeamua kujiunga nanyi katika harakati za kubadilishana mawazo na kupata ushauri kwa changamoto mbalimbali zinazotukabili kama binadamu.tupo...
Samahn wakuu ni baada ya kuperuzi mada mbalimbali zilizom katk jamii forum nikaona bora nami nijiunge na kuwa memba wa huu mtandao ili niweze kupanua ubongo Wang ktk uwelewa wa mambo mbalmbal
Habari zenu wana jf....
Mm ni mgeni humu jf nimejiunga ktk hii jamii ili niwe miongoni mwa washiriki wa jf ktk nyanja tofauti tofauti.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZOTE KWA MEMBERS WOTE WA JAMII FORUMS.
Ndugu wakubwa kwa wadogo hodiii humu ndani.Tafadhari nikaribisheni kwa mikono miwili.....kwa wale wa siasa,mimi mrengo wa kati..wale wa music mimi msaaaafi...wa mpira,mimi ni Mbeya city na Man...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.