Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
hi jf asanteni kwa utibìtisho wenu wa mimi kuwa miongoni mwa waGREAT THINKERS am so HAPPY FOR THAT ushirikiano wenu ni muhìmu
0 Reactions
5 Replies
834 Views
me nina miez humu jf ila cwaelewi kwakwel mana umu jf mna k2 kinaitwa udini sio kitu kzur jmn
0 Reactions
4 Replies
731 Views
Habari watu wangu wa nguvu,naomba kwa wanaofahamu wanisaidie,.iPhone 3G Inamwisho wa ku update??? Natanguliza shukrani,..
0 Reactions
4 Replies
880 Views
New
new mtu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari zenu
0 Reactions
6 Replies
765 Views
Habari?..naomba kukaribishwa humu ndani
0 Reactions
10 Replies
926 Views
Hodi hodi humu ndani kwa shairi naingi, salamu kwenu wapendwa wakubwa hata wadogo. Nakuomba Maulana bariki waanzilishi, hongera jamii forums kwa elimu burudani. Siku saa zimepita dakika hata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello, ninaishi Norway na nimejifunza kiswahili kwa takribani miezi sita. Niko hapa kuboresha kiswahili changu, na kushiriki katika majadiliano ya kuvutia. Nimefurahi kuwa hapa na ninyi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi naitwa Juli nakaa Msumbiji Maputo naitaji rafiki!! Kissss nyinyi wote mliopo hapa!!
1 Reactions
11 Replies
1K Views
helow wana jamvi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani me mgeni humu,ingawa hula nachungulia Mara moja2 leo nakaribia rasmi,hodi wenyeji.....
0 Reactions
23 Replies
2K Views
jf mamboz! mnipokee jaman me mgen huku
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Im new here
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Amani kwenu wakuu!! Naitwa bi Hekima nimefurahi kuwa nanyi humu. Nawatakia mema. Ahsanteni.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
New
Jamani mi ni mgeni humu
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Adje umuuiiii
0 Reactions
3 Replies
791 Views
Mimi ni kijana mdogo ktk harakati za maisha hapa na pale huwa nafikiria kufanya kitu tofauti ktk maisha angu lakin sipati mwanga ....nsaidien wana jf tafadhal.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajf,mm ni mpenzi sana wa jf ila siku zote nilikuwa msomaji tuu wa post za wengine.Naomba kukaribishwa rasmi ili niendelee kuifurahia na kujifunza mengi kutoka kwenu wapendwa...
0 Reactions
2 Replies
746 Views
Niaje Raia. Naomben msaada jins ya kuchange jina
0 Reactions
1 Replies
618 Views
Naomba mnipokee
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom