Wana jamvi hodi hapa kwenu.
Mie ni mgeni ila nimekuwa naperuzi kwa muda mrefu sana humu ndani kama mgeni leo nimeona sasa jiwe mwanachama. Naombeni mnipokee.
Naahidi kuwa mwanabodi mwema, na...
Ni mgeni humu naombeni ukaribisho. Ina nina mambo mawili naombeni ushaur..
1. Mke wangu mtarajiwa wa rafiki yangu wa karibu kachepuka baada ya kumuuliza kwa siku nyingi hatimaye kakir wazi...