Habari wanajukwaa.
Nina furaha isiyo kifani kuwa miongoni mwa wanajukwaa hili la watu makini nimekuwa nikisoma mada zenu mbalimbali na majibizano au majadiliano yenu na kuvutiwa sana.
Niwataje...
Wana jamvi nimekuwa msomaji sana wa hapa MMU for 3 yrs! now nimeamua kuingia mzima mzima nami nichangie lol jamani. Naomba mwenyeji hapa anitembeze na kunipa miiko ya hapa!:msela:
Habari zenu vikongwe wa Jamii Forums.
Nawasalimu kwa upendo. nashukuru nimejiunga nanyi, naomba ukaribisho wenu. Mwenyezi Mungu awajaalie kheri.
Asante.
Habari zenu wana GT,
Napenda kujitambulisha tena ndani ya jukwaa hili tafadhali mnipokee. Mimi ni mgeni kabisa ila nmejifunza mengi kupitia hii Jf hata kabla ya kuingia, nmecheka sana kwa...