Kwa takribani miaka mitatu,nimekua nikipita hapa jukwaani kama "guest".Sasa ni wakati mwafaka wa kujiunga na jamvi hili,nipokeeni kwa mikono miwili mimi "formula2"
Kwa kweli nimesikitishwa na uchanguzi huu, ina maana kweli katika warembo wote huyu ndo anafaa? . Hili shindano linaelekea kufa. Reds na wao wajiuzulu kudhamini shindano. Ni upuuzi mtu. Bora...
Natafuta msichana wa kazi za nyumba wa kulala, mimi niko Moshi maeneo ya maili sita, yeyote anayehitaji anitafute kwenye no 0715421799 au 0755421790 tutazungumza kwa kirefu
Am Bogadi, and yes a very new member of JF community, am looking forward to get knowledge, ideas and share my experience with members, kuna kona ya ujasiliamali thats awesome, na great thinkers...
Shkamoni wakubwa zangu, wenzangu; habari zenu., wadogo zangu; marhabaa. Nafurahi leo kujitambulisha rasmi baada ya kuwa mdowezi kwa kipindi kirefu kiasi. Nakushukuruni kwa kunipokea.