Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Haya ndo hivyo tena
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi najitambulisha kama mgeni jamiiforum naomba mnipokee na kunielekeza ili angalao nifanane nanyi
0 Reactions
7 Replies
939 Views
Mimi ni mgeni katika jf,naomba tafadhali kwa wenyeji mnijuze juu ya neno ni PM, nini hasa mtu ana maanisha maana matangazo mengi mtu anadai utani PM
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari zenu ndugu zangu wa humu ndani nina ndugu yangu almaliza form6 miaka ya nyuma kwa bahati mbaya alipata principle pass moja akukata tamaa aka apply diploma chuo kimoja kamaliza mwaka huu ila...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za muda huu wapendwa, naombeni mnikaribishe.
0 Reactions
5 Replies
817 Views
Hali zenu waungwana.. Mim ni mgeni humu mjengoni naomba munikaribishe
0 Reactions
7 Replies
862 Views
Naomba kukaribishwa wanajf,.....
0 Reactions
4 Replies
882 Views
Baada ya akaunt ya kwanza kupata mushikel nimerudi kivingine hivyo naomben tuendeleze gambe kama kawaida #one_love_kwenu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
habari za asubuhi wapendwa .mimi ni mgeni humu ndani naomba mnipokee.
0 Reactions
8 Replies
974 Views
Za kwenu wana JF wezangu, well Mimi ni mgeni huku na pia Nina tatizo ambalo nilikua naomba niwashirikishe wenzangu. Ni wapi naweza pata a place or an organization ambayo ni safe ili niwape a kid...
0 Reactions
4 Replies
939 Views
Habar zenu jaman me mgen huku na nna siku kadhaa toka nijiunge nipokeeen
0 Reactions
3 Replies
811 Views
Hodi hodi!!Jamani nimechoka kuwa msomaji tu wa kupita! Nimeona nijisajiri na kuwa mwanafamilia hii maana kuna mambo mengi mazuri!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hod wanajamii napenda kuungana nanyi katika kusukuma gurudumu hili la wanajami,naomba mnipokee
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jf
1 Reactions
4 Replies
1K Views
mimi ni mgeni na ninafurahishwa na all things going on in here...love y'll
1 Reactions
4 Replies
914 Views
Natumai hamjambo, mi ni mgeni kabisa humu naomba ushirikiano wenu!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
niaje humu ndani
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwajina Naitwa Ramadhan, Ni Mpya Kwenye Nyumba Hii Natumai Tutakuwa Pamoja
0 Reactions
6 Replies
1K Views
"thank you the almighty god! for blessing me with all these wonderful years. half a century, 8 boys, 2 girls and 2 very kind,obedient and understanding wives." please let us all celebrate with me.
0 Reactions
5 Replies
732 Views
i'm Victor, hatimae nimejiunga kama official member baada ya kuifuatilia kama guest since 2011
0 Reactions
6 Replies
823 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…