Habari zenu wadau.Kwa kifupi mm ni kijana mpenda maendeleo na mabadiliko katika fikra na matendo.Nmekuwa nikifatilia jamii forum kwa miaka3 salsa. Nimeona jinsi vijana wenzangu mnavyofanya...
Nimeacha kutumia akaunti yangu ya zaman baada ya id yangu kujulikana na baadhi ya watu na kwakuwa ilikuwa inafanana na id kwenye mitandao mingine. Kwa sasa nimefungua akaunti hii na nataka kufunga...
jaman kuna msichana niliachana naye pindi niko form four, tukawa hatuna mawasiliano kabsa, lakin sasa nina mawasiliano naye, lakin tukiwa tuna chat au tunaongea, huwa ana nilaum kwamba mim ndo...
Jaman wana mmu mie nmgeni humu sio mbaya hata mki ni pm sio mbaya na mm nijue maana ya pm.....pia nmekua nikivutiwa na post nyingi na jinsi mnavokoment
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.