wanajamii wakubwa shikamoo,rika langu mambo vip,wadogo zangu marhabah.nami nime hamia katika jamii hii ijengayo na kupanua fikra na mawazo chanya katika mawazo, nakingojea kijiti toka kwako mwana...
Habar zenu wapendwa,mim mgeen kabisa hapa jf ila nilikuw naifuatilia long t kusoma post mbalimbali na coments za watu jinc wanavyochangia nmevutiwa nmeamua kuwa mwanachama rasmi.......thaaaanx
Niwasaa tulivu kwangu wa kutenga muda, kwa ajili ya kuchangia na kutoa mawazo yangu ndani ya familia hii ya jamii forum. Tuko pamoja tulikua pamoja nlilipo kua kama guest sasa tutaendelea kua...
ndio mimi!! mwingine picha kivuli. a.k.a photocopy.. wazeiya, nchi yetu imekuwa ikibadilika siku kwenda siku... mikoa inagawanywajeee...! unaweza kuwa leo shinyanga, kesho unaamka uko KATAVI. mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.