Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari zenu wanaJF. Mimi mzima wa afya namshukuru Mungu. Ninayo furaha kubwa kujiunga nanyi katika jamii hii. Niwatakie siku njema.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kitambo nimekua nafuatilia JF kupata taarifa mbalimbali nikiwa unregistered, kwa sababu sikupenda baadhi ya majibizano yaliyotumia lugha chafu. Baada ya kitambo nikagundua naweza kujiunga na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi nyie kwani lazima mkiingia humu muwe munapiga hodi?! nyie kama muaingiia ingeni tu sio kila mtu hodi hodi...tumewachoka na hodi zenu kwa maana hatulali sasa kila time hodi...me nimeshachoka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu mm n memba mpya.Naomba mnipokee tuko pamoja
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mie mgeni humu jamvini naomba mnikaribishe, nipo teyari kupokea marekebisho. Wahenga walisema kuku mgeni hakosi kamba mguuni. Asanteni.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
nmekuwepo kwa muda sasa....hodi jamani....naombeni ushirikiano
0 Reactions
9 Replies
967 Views
Hodiii........ wenyewe mpo?au hawapo niondoke....
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni katika jamvi hili naomba ushirikiano
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habari zenu. nauza viwanja vyangu vilivyopo kigamboni eneo la kibada wilaya ya temeke. viwanja vyote viwili vipo block 19 kibada. kiwanja cha kwanza ni kiwanja namba 395 kina 1002 square metres...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
:llama::llama::llama::spy::spy::spy::llama::llama::llama::llama:
0 Reactions
5 Replies
966 Views
Am new here guys
0 Reactions
5 Replies
994 Views
naomba kukaribishwa na kuchangia mada.
1 Reactions
5 Replies
940 Views
Mm mgeni katika safu hii ya jamii forum naomba mnipokee!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Silaha yangu ni mkwala
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jaman bila shaka ni wazima humu kiafya na siku nzuri.naombeni mnieleweshe nini maana ya hili neno "avatar"?
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Napiga hoooodi humu wana jf mpo??? Am new member....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Am a new comer...wlcm m plzzz!
1 Reactions
7 Replies
932 Views
Mie mgeni nduguzanguni naomba mnikaribishe natuendelee kuwa wote hapa jamvini, nyumbani kwa watu makini. Asanteni.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani kama inavyoonekana kwa somo najitambu...., kwanza naomba mpokee salamu zangu "Habari kwa mabwana na mabibi", pili nijitambulisha kwa majina ya utumizi kwa NGEDU M.A. Naomba ushirikiano...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi mgeni humu ndani wenyeji mpo?
0 Reactions
6 Replies
825 Views
Back
Top Bottom