Jamani Naomba uenyeji humu,
Nimechungulia sana kama Guest User mara nyingi tu, pia mara mojamoja kwa Computer ya Jamaa mmoja hivi (User) akiiachaga wazi, na sasa nimeingia kama mwenyeji.
Mgeni...
Wakuu ni mda mrefu sana nimekua mtazamaji tu nje ya uwanja huu wa fikra pevu, sasa naomba namba tucheze wote wakuu, naamini zaidi katika NGUVU YA HOJA na sio ushabiki tu! asanteni sana...