Cyber war ambayo inazidi kushika kasi sasa inafuruliza katikati ya jamii inayo pigana kujikwamua kiuchumi je mabanki ;nyanja nyeti za kitaifa zitabaki salama /usalama wa ndani selikali...
Nimekua mfuatiliaji wa JF kwa muda na nimeamua kujiunga rasmi. Tafadhali naomba ukaribisho na mawaidha yenu wadau kabla sijazama majukwaani. Asante​ :smiling:
mimi ni mgeni humu ndani nimetokea fb whatsaap Instagram na viber naomben mnipokee maana hata huku pia nimepapenda kuishi maana hali ya hewa yake ni nzur.hodi tena