Wana jamii Forum mkaribisheni shangazi yenu leo ndio nimeingia rasmi. Hapa ni ukweli na uwazi tu na hakuma majumgu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA KASORO MAFISADI WALIO NDANI YAKE
Kwanza nishukuru sana kwa kupata fursa kuwa jf member.
Nimekuwa nikifuatilia sana mambo mengi humu kama 'visitor'kwa miaka mi3 hadi hivi leo nimejiridhisha kuwa Member.
Natumai ntaendelea...