Baada ya kumzungusha jamaa siku nyingi huku akihudumia mzigo,,
akaamua kuhoji namna gani mbona hunipi tunda la roho sasa mbwembwe nyingi?
Akasema Baby Mi kwakweli nivumilie tu mpaka tuoane ndo...
Hodi jamani hodiiiii... wenyewe mpooo? miye mwenzenu mgeni mtaa huu, ndiyo kwanza leo nimeingia, naomba mnipokee... ila miye ni mjanja sana na Great Thinker sidhani kama mnaweza kuniiingiza...
Za Jioni wandugu, Averoes ndugu yenu nimefika naomaba mnipokee na viongozi.mliopo nawaamkuweni naomba mnifungulie milango ya majukwaa yote msinibanie hata mmoja.
Natanguliza shukurani
Najua huku mna taratibu zenu na mimi kama mgeni naomba ukaribisho wenu ili nifarijike kwamba nimewakuta wenyeji, unajua mtu mgeni anaweza akakosea jambo kutokana na ugeni wake pls nielekezeni, jf juu.
Jaman ni kitambo sana tang2011 nkiwa chuo nlikuwa naishia kusoma trend za wat na post zao ila leo hii namshukuru mung nimeokota kasm kenye internet kakansaidia kufka humu jf-naomben mnipoke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.