Kwa Mara yakwanza naomba ukubali wenu katika jukwaa hili nikiwa member mpya kabisa katika jukwaa hili.
Mnipokee lakini tijadiliane kwa kufundishana sote.
Habarini enyi ndugu zangu wana JF!! Nafrai kuwa mmoja wa JF member kwa sababu
1. Ni mali ya Watanzania halisi yenye lugha yetu halisi(Kiswahil)
2.Ni mahali ambapo palinipa, Pananipa na...
Ninafurahi sana kujoin na the home of great thinkers maake ni mda sana nimejarbu kujiunga na jf lakn device yang ilishndwa! Naombeni ushirikiano wenu mzur ktk uanajamvi humu ndan;nawatakia wakat...
Nafurahi kupata fursa ya kuchanganyika nanyi greeeeeaaaat thinkers. tupo pamoja. nimechoshwa kutembelea majukwaa kama guest,raha ya ngoma uingie ucheze
Habar zenu..,nawasalimu wote mliopo umu ndani,wakubwa kwa wadogo...nmeamua kujiunga na jf kwa ajil ya kushare ideas na kujfunza pia,,,naomben ushirikiano wenzang!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.