Mimi ni mwanachama mpya - napenda kuwasalimia Wana Jamii Forums wote wakati huu wa Mwaka Mpya.
Binafsi huwa nafuatilia masuala ya kijamii, kisiasa na kimaendelo hapa kwetu Tanzania na ulimwenguni...
Je mnakuja kuimarisha hii nyumba au nyie ni wanafiki na vizabizabina mlio tumwa kuiharibu na kuivunja hii nyumba?
Kabla hujaingia humu ndani jiulize dhamira yako kama wewe ni mwema au mfitini...
Nasikia kuna waraka mpya wa upandaji wa madaraja ya cheo na mshahara kuwa ni miaka minne badala ya miaka mitatu?. naombeni ufafanuzi wanajamii wenzangu?