Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari wana Jf mm ni mdau mpya naitwa mikuku naomba mnipokee. Ahsanteni sana
0 Reactions
19 Replies
1K Views
hodiii wana Jf.n memba mpya humu naomba ushirkiano tuuu
0 Reactions
7 Replies
811 Views
Hodi wenyeji. naomba nijiunge nanyi. Natokea Kagera. Ila niko Moro kama kuna lolote natakiwa kufanya naomba nieleweshwe nisije nika over do au under du
0 Reactions
9 Replies
765 Views
aint a gud writer,just a gud reader. thx
0 Reactions
4 Replies
587 Views
kichwa cha habari chajieleza .
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hodiiiiii janvini, ni mgeni jamani, naomba mnipokee na kusamehewa kama ntakosea, mwanaume by jinsia, m2 wa kusini. Ila naamini janvi ni la watanzania wote... Asanteni.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nipokeeni
0 Reactions
7 Replies
824 Views
Mgeni mie sina hadabu nabisha hodi wakati nshaingia tatizo wenyeji mmeacha mlango wazi.....ila sio kesi wenyej hamjambo me nshakuwa mwenyeji japo s sana ..hii linki ya utambulisho nilikuwa...
0 Reactions
9 Replies
904 Views
Hodi wana jf me mgeni humu.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndg wanajamvi wote mm ni mwanachama mpya hapa JF niliyejiunga rasmi tarehe 19/12/13. Nimejiunga JF kwa lengo la mm kuchangia mawazo yangu katika ile Tanzania ninayotaka kuiona miaka 25 ijayo na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kijana wa kitanzania.nimeamua kuingia jukwaani ili kusaidia ujenzi wa jamii mpya.
0 Reactions
8 Replies
918 Views
mi mgeni
0 Reactions
8 Replies
936 Views
Mgeni jamani
0 Reactions
9 Replies
887 Views
Wana JF, Heshima kwenu Wakubwa Shikamoni, Wadogo habarini za Saa unaponisoma, WOTE KIMYA HILO NALO NENO. Kwa Muda mrefu nimekuwa nikifuatilia kama mgeni kuwaangalia waliosajiliwa jinsi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ninamshukuru Mungu kwa kuweza kujiunga nanyi humu.kwa ma great think.. nawaomba mnipokee na pia tuishi kama ndugu kwa upendo na umoja bila kujali itikadi zetu... Asanteni sana na Mungu wangu awabariki
0 Reactions
8 Replies
971 Views
Salamu kwenu nyote watu wa Mungu. Mie mgeni wenu, naomba mnipokee.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf, jamani ndo kama muonavyo hivyo nabisha hodi mimi ni mgeni humu ndani katika hili jukwaa. Hivyo natumaini tutakuwa pamoja katika kuchangia hoja pamoja na kubadilishana mawazo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hodi jamani?
0 Reactions
7 Replies
910 Views
habar za hapa.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi wanajamvi ,naomba kupokelewa kwa mikono miwili ili niwape ya kwetu giningi Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom