Nimeamini kuwa ukiwa nje ya JF kwa muda mrefu kidogo inakuwa kama upo jela,humu ndio "uraiani" kwangu, nilikuwa nimekuwa banned kwa kipindi cha mwezi mmoja kwa kosa la kumtaja jina "bi...
nimekuja kwsko sijisikii kupiga hodi nakuambia niko sebuleni na ntakufata mpaka chumbani nasikia umewaficha wenzako huko kina ritz ilizabon and the like ....naingia sasa...
Nimependa sana namna ambayo jamiiforums imekuwa ikileta na kujadili mada ambazo ni muhim kwa ustawi wa taifa.
Nami leo naamua kujiunga nanyi, naomba ushirikiano wenu
Mie naomben ukaribisho wenu. Huwa Nasoma post zenu miaka miwili sasa, hivyo nimejiunga ili nami nipate kuandika. mwabheja sana, mwakondya, elokamano, ndaga fijo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.