Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
habari zenyuuuu,bandugu kwa utafiti mdogo nilioufanya watz wengi WANALAUMU bila kuonyesha njia hususan politician, hii haitusaidii ndugu zangu tupige kazi na kuboresha ufanisi maeneo ya kazi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wadau! Nipo mbele yenu nabisha hodi na naomba ushirikiano wenu kama wenyeji. Naimani mtanipokea kundini. Asanteni.
0 Reactions
8 Replies
901 Views
Naomba kukaribishwa, kimasai mgeni akija anaachiwa muke wa mwenyeji. nitapata mkeeeee?
0 Reactions
6 Replies
772 Views
Aisee Natafuta mtaalamu wa kumix equalizer ya mashine ya mziki. Yaani mtu wa kuupangalia mziki ukapiga vzuri haswaa. Mashne ni KARMA, Ipo kama PIONEER. Nitafute 0718651174 mbezi dsm. Highly needed...
0 Reactions
3 Replies
776 Views
Hodi humu, tuko pamoja viongozi....
0 Reactions
5 Replies
928 Views
every day watu tumesahau kwamba "UWONGO HUPANDA LIFT while UKWELI HUPANDA NGAZI kuelekea juu ya ghorofa" uongo umeshafika lets tusubiri ukweli then tupime which is more correct ACHA NIWE WA...
0 Reactions
6 Replies
959 Views
Nimeamua kuwa mwanachama (sio wa chama cha siasa) bali wa JF ,ili tushilikiane kujadili mambo Mbali Mbali yanayoletwa humu ndani,hivyo naomba kupokewa kwa mikono miwili.
0 Reactions
5 Replies
673 Views
kua guest wa jf tabu sana but right a member of jf!! home of great thinkers!! a blv ntajifunza meng zaidi!!!
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Iliyotumika iwe katika hali nzuri call; 0768642266 au nitumie meseji....
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HI
Hodi wana jf
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nimekuwa naperuz kama guest 4 2 yrs now, hope ntajifunza mengi now na kuweza kuona hata pale nlipokuwa nazuiwa kufanya kama guest pamoja na kuchangia mada moto moto za humu ndan.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
One,two,three...
0 Reactions
10 Replies
971 Views
Hello, Hodi jamani, Kwa jina naitwa Nyama ngumus. Nawapenda, naomba mnikaribishe! Ahsanteni:loco:
0 Reactions
10 Replies
762 Views
Mambo vp Wadau tuko pamoja ndani ya jamvi tusiogope tukumbushane tu kuwa njia ya wote ni moja..Amani kwa Waliotangulia,Maandalizi kwa tuliobakia..Narudia usihanye,hakuna pa kukimbilia kama sio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello, Hodi jamani, Kwa jina naitwa Nyama ngumus. Nawapenda, naomba mnikaribishe! Ahsanteni:loco:
0 Reactions
5 Replies
839 Views
Habari zenu wanajamii,nami nimeamua kujiunga na kuwa mwanafamilia mwenzenu
0 Reactions
6 Replies
812 Views
Naomba mnipokee rasmi leo wana jamvi,nimekuwa msomaji wa muda mrefu na sasa nimeamua kuchonga mzinga.Naamini mtaniongoza vema katika michakato mbalimbali hapa JF
0 Reactions
9 Replies
893 Views
Habari zenu wana JF? Nachukua fursa hii kuomba uraia na kujitambulisha kama mwanajamii rasmi wa JF nipokeeni tafadhali:A S 103:
0 Reactions
18 Replies
963 Views
Nawasalimu wakuu humu..
0 Reactions
11 Replies
937 Views
naona suala la kapuya linachukua sura ya mob justice, tumemtuhumu, tumemshitaki, tumetoa hukumu, that is not fair, hatuna tofauti na wale wanaopiga mawe wahalifu, badala ya kuwapeleka mahali...
0 Reactions
3 Replies
718 Views
Back
Top Bottom