Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Salaam wanajamii!
0 Reactions
6 Replies
809 Views
habari wana jf jamani mimi mgeni naombeni mnikaribishe nimekua visitor kwa muda sasa nimeona ni vyema nijiunge ili nipate mazur zaidi ni hayo tu
0 Reactions
8 Replies
883 Views
Baada ya kuwa guest kweny JF kwa miezi kadhaa,sasa nimekubaliwa kuwa member.Tafadhali msikose kunielekeza pale ninapokosea maana binti wa Pwani hakosi shanga kiunoni.
1 Reactions
9 Replies
877 Views
hello Jamii Forum, mimi ni mgeni naomba mnipokee plz
0 Reactions
5 Replies
688 Views
hey wadau mko pouwaa? new member in the house of great thinkers! naipenda jf xanaaa na matarajio yangu ni kuwa gold member wa jf,kiukwel inasaidia kupata info za fasta na za uhakika though c zote...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Tutafutane jamani wana jamii forum
0 Reactions
5 Replies
848 Views
A na B! A na B! Naimba jamani,naingia taratiibu ndani ya ukumbi huu adhimu,nawategemea sana!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau kuna mtu aweza kutusaidiakwa nini huyu mama kivea anakuwa na roho ya kuwazungusha wastaafu mpaka shirika linaingia hasara ya kuwapa wazee nauli na nauli yenyewe ni kwa shinikizo la bosimmoja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekua nasikia JF kila kona Leo nimeona bora nisiishie kusikia Bali nijionee mwenyewe. Na nilichokikuta no tofauti Na nilichosikia, nine habarika, nimecheka na kuburudika zaidi
0 Reactions
5 Replies
673 Views
ni zaidi ya mwaka na nusu sijaingia humu ndani! I'm back miss u! Wapya na wazamani wote me ndo nakaa jamvini hvo! Sogeeni nami nijinafasi pamoja nanyi!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu wana jf, ninaomba kujiunga nanyi kwa mara ya kwanza kama mwanachama wa jf ili kwa pamoja tujadili,tujifunze,tuelimike na tufurahi. Naomba mnipokee bila kinyongo, na mnipe kampani bila...
0 Reactions
7 Replies
773 Views
Nikaribisheni nipate Faraja na sikupata garaja
0 Reactions
7 Replies
933 Views
Kamwe jasili haachi asili asilani. Na moshi huwezi kuuzuia kusambaa kwa kuufunika na shuka. Mpiga kelele hanyamazishwi kwa kufungwa mdomo. Nyani ni yule yule wazamani ndani ya msitu mpyaa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini wajameni! nina imani nitapokelewa vizuri na mambo mengi ya kushare nanyi. Ahsanteni:amen::amen:
0 Reactions
7 Replies
961 Views
Hello, I finally decided to join in here let's see where t goes.
0 Reactions
5 Replies
858 Views
Naaam wana Baraza khabari zenu?//// ni mtu wenu wa siku dahali,, sasa nikaona kwa uhadidi nami niwe Rasmiii,nyie watu ni so specially ,Hekaya ama uzi zangu zital\kuwa paleee kwenye lugha(...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wapendwa hodi hodi nashukuru kwa kupata nafasi ya kujiunga humu jamvini
0 Reactions
9 Replies
881 Views
Nimeona nami niingie humu baada ya kupiga chabo kwa muda mrefu Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
6 Replies
746 Views
I'm Ntakasi.......and i believe i'm one of great thinkers.......I,hereby ask you to receive me with open arms......
0 Reactions
8 Replies
864 Views
Back
Top Bottom