Hodi humu ndani, nimekuwa nikisoma mambo ya humu ndani kama mgeni kwa miaka miwili sasa ila leo nimeona na mimi nijiunge baada ya kuona umuhimu wa jukwaa hasa kwenye kutoa elimu na ushauri please...
Mimi naona wabongo hatuna uzalendo kwani tunalalamika serikali haiwajibiki lakini maana ya serikali ni watu,ya watu na kwa watu(abraham lincolin) sasa tumekuwa tukisikia au kuona baadhi ya...
Kwanza natanguliza shukran kwa wana JF wote kwani nimekuwa nikinufaika saana na taarifa nyingi, ningependa kuwa active member,
Mim ni mfanya kazi, na mjasiriamali, naishi Dar.
ni mtaalam wa...
heshima kwenu nyote,
naimani mko poa,baada ya kuwa pembeni kwa kipindi kirefu hatimae nimeona niungane nanyi, naimani nitajifunza mengi na tuvumiliane pale nitakapokosea kwani ugeni nao una mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.