Habari wakongwe wa JF! Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa blog hii kwa takribani miezi saba ama zaidi kabla ya kuamua kujiunga rasmi 03/10/2013, nimejifunza mengi sana na nimebadilika na kutanuka...
Naamini mpo salama katika jumuia hii ya jamiiforum, mimi nmekua msomaji tu kwa muda wa miezi karibia mwaka. Naomba mnipokee, nilikua siifahamu jamiiforum, kuna rafiki yangu alinitambulisha
Kwenu wana JF wakongwe.
Nimekuwa nikisoma post katika jukwaa hili la
ujasiriamali kama Guest kwa muda mrefu sasa lakin nimeamua kujiumga kabisa ili nami niweze kufaidi vitu vingi zaidi kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.