Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Ndugu waheshimiwa saana wana jamiiforums, salaamu. Napenda kuwajuza kuwa kuanzia sasa mimi ni `member' (mwanajamii) mwenzenu. Naomba `kampani' ushirikiano wenu. Asanteni sana.
0 Reactions
5 Replies
868 Views
Jamani mi sina mengi bali naombeni ushirikiano wa kutosha katika hoja zetu,asanteni
0 Reactions
5 Replies
868 Views
Hi..! members,here iz SAMMY. nimejoin as a mwanachama mpya who has been interested na JF. Thus y am in need of ur support.
0 Reactions
7 Replies
939 Views
Mgen wenu mie naomba munifundshe nisiyoyajua humu ndan.:-)
0 Reactions
8 Replies
948 Views
Wakuu naombeni mnipokeee mwenzenu ni mgeni mtaa huuu.
0 Reactions
5 Replies
769 Views
Wadau mimi ni mtumiaji wa mda mrefu wa Jamii forum ila nilisahau kidogo namba za siri za kuingilia na nimejaribu all means nikajichanganya nikaenda kurequest for new password bila kujua email...
0 Reactions
5 Replies
972 Views
wakubwa shikamon, vijana habar zenu bhana, blessed all thanx.
0 Reactions
5 Replies
859 Views
Nashukuru kwa kuifahamu Jamii forums nimesoma habari zenu mbalimbali zimenivutia nikaribisheni.
0 Reactions
5 Replies
681 Views
Wapendwa mwenzenu mgeni kwenye huu mtaa,naombeni mnipokee wapendwa.
0 Reactions
9 Replies
883 Views
Hodi wanajamvi, Nimekuwa nikiangalia jamii forums kama guest lakini nilikuwa sina uwezo wa kupost na kucomment. Nimejiunga kwa hiyo ninauwezo sasa wa kupost na kuchangia mada. Naombeni mnipokee.
0 Reactions
8 Replies
777 Views
A new sheriff in town guyz......
0 Reactions
7 Replies
922 Views
Hellow Jf, naitwa Mkataji,naomba mnipokee.
0 Reactions
9 Replies
904 Views
Haya-haya-haya wanawane naimani hamujambo woteee wana wa ''Great Thinkers''.... Ninawakubali saaana wanawanee na ndo maana nimejimuvuzisha kutoka kwenye Fesibuki 1kwa1 nimehamia huku kwa wenye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Guys please show me the way.
0 Reactions
5 Replies
648 Views
Nabsha hod mi mgen naomben kupokelewa jamani.
0 Reactions
5 Replies
935 Views
We r hr togethr
0 Reactions
8 Replies
927 Views
Hellow.. Nimekuja jamiiforum kuwashika wote.. Wazo la leo Maisha ni kama gwaride, wakisema Nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza.. So uliye bosi leo usijione umefika, wakisema nyuma...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
sina kamba jamani, hodi wana jukwaa
0 Reactions
9 Replies
938 Views
Hello! Naitwa Fredrick SEBA, Nakaa Banana Ukonga, Najishughulisha na Ufugaji wa kuku wa Kienyeji, pure na Machotara, kuku wa malawi, nk Pia nauza mayai, vifaranga na kuku wakubwa wa kienyeji kwa...
0 Reactions
9 Replies
877 Views
Hello!
0 Reactions
11 Replies
781 Views
Back
Top Bottom