Humu ndani kuna kila aina ya mambo ya watu, na watu wenyewe ndo ninyi pamoja na mm ambaye nimeamua finally kujiunga JF.
so please guys, nikaribisheni
thenki yu pipo.
naitwa served nna miaka 26 mama wa mtoto, 1 na mke wa mume mmoja. nimevutiwa sana hili jamvi,nipo ili kulisukuma hili gurudumu kimawazo na kifkra asanteni naamini mtanipokea.
Simara ya kwanza kutumia jf,nimaranyingi tu lakini sikuwahi jujitambulisha.nawaombeni member wote wa jf mnipokee kwa nianjema kama mwanaharakati kama ninyi.asanteni sana!
Habari wadau kiufupi na mimi nimejiunga na huu mtandao wa kijamii natarajia kupata ushirikiano mkubwa to kwenu kwa mema kimsingi busara ndo utuongoze hasa kwenye kutoa maoni:a s 11:
Pasi shaka yeyote naifahamu jamiiforum! Nimekuwa naitembelea mara nyingi kama Mgeni ila kwa sasa nina imani nimefanya uamuzi bora wa kujiunga kabisa na mtandao huu nikiwa na dhima kuu ya kutoa na...
Habari zenu wana jf,
Nimefurah sana kuingia katika jamii hii na naomba mapokez yenu na msaada wenu.
Naamini kuwa mafanikio yangu yapo mikononi mwenu,mungu awalinde wote..
Amina
habari wana jf, mimi ni mgeni humu!
naombeni mnipokee!
pasi na hapo, nimeingia na kilio cha matokeo ya darasa la saba ya mdogo wangu, kasomeshwa shule ya gharama kweli, lakini mwisho wa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.