Hope wote wazima,mi mgen ndo nimefanya registration leo but huwa nafuatilia mengi sana hapa na mengn yamenisaidia!nafurah jf members ni watu wanaojitambua na kuona mbele na hl huwa naliona...
NATUMAI TUTA WAZA TETE NA TUTASEMA TETE, TUTASHARE TETE NA KUANDIKA TETE ZAIDI YA TETESI. BASI HAYA , NAWAPENDA WOOOTE NA NAIPENDA SANA HII NCHI YA TANGANYIKA :kev:
wana jamvi , mimi mtwa mkulu wa dar nimekuwa jamvini kwa siku kadhaa. nimeona si busara niombe kukaribishwa. napenda sana kutoa na kuchangia hoja mbalimbali
Wana JF naomba nipokelewe kwa mikono miwili mimi ni mgeni kwenye Mtandao huu wa JF ni matarajio yangu kuwa nitapata ushirikiano wa kutosha hapa JF nawaombea wote wana JF Mungu atupe maisha marefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.